DIWANI HAFIDH KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA VITONGOJI VYA KABANGA

By Simamia Ngara Apr 29, 2024

NA,ANKO G.

Diwani wa Kata ya Kabanga Hafidh Abdallah anatarajia kufanya mikutano kwenye vitongoji vyote vinavyo unda Kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.

Aidha Diwani huyo anatarajia kuanza mikutano tarehe 29 Aprili 2024 na kutanatisha mikutano hiyo tarehe 09 mei 2024.

Hata hivyo mikutano hiyo itaanzia Kijiji cha Kabanga na kuhitimisha katika Kijiji cha Ngundusi.

Pia mikutano hiyo inalenga kubaini kero za wananchi wa Kata ya Kabanga na kuibua miradi ya maendeleo katika kata hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *