YANGA YAIPIKU SIMBA KWA NAMBA YOUTUBE

By Mwafrika May 1, 2024
Hii ndio account ya klabu ya yanga katika mtandao wa YouTube Hii ndio account ya klabu ya yanga katika mitandao wa YouTube

Klabu ya simba ni miongoni mwa timu za manzo hapa nchini Tanzania kua na wafuatiliaji wengi mitandaoni ikiwemo mitandao wa YouTube.

Hii ndio account ya klabu ya yanga katika mtandao wa YouTube

Lakini mpaka sasa kwa upended wa klabu ya simba imeachwa mbali kwa wafuasi takribani 20

Hii ndio account ya klabu ya simba katika mtandao wa YouTube. 

+elfu ikiwa simba wanawafuasi laki 531+ huku yanga ikiwa na wafuasi laki 553+ hivyo inawafanya klabu ya yang kua no klabu yenye wafuasi wengi kuliko timu yeyote Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *