RATIBA YA MIKUTANO YA DIWANI HAFIDH KIJIJI CHA IBUGA

By Simamia Ngara May 2, 2024

NA,ANKO G

Baada ya kumaliza mikutano katika Kijiji cha Kabanga na Murukukumbo Diwani wa Kata ya Kabanga Hafidh Abdallah anatarajia kuendelea na Mikutano katika vitongoji vitano vya Kijiji cha Ibuga mnamo tarehe 06 mei 2024.


Aidha vitongoji vitakua kama ifuatavyo Ibuga No.1 & Ibuga Center kituo cha mkutano kitakua (Ibuga Center ofisi ya Kijiji majira ya saa5:00 Asubuhi.

Pia saa7:00 Mchana itakua ni zamu ya kitongoji cha Mkihahe na mkutano utafanyikia Mkihahe Center.

Vilevile Diwani huyo atahitimisha na vitongoji viwili vya Kichache A&B na kituo cha mkutano kitakua Karagenda Center majira ya 10:Jioni.

Lengo la mikutano hiyo ni kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *